
Moja ya Majengo ya zamani katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro ,miongoni mwa shule Kongwe zilizofanyiwa maboresho ya miundombinu ya Madarasa,Mabweni pamoja na Vyoo. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira Zainabu Shushue akizungumzia maboresho yaliyofanywa na Serikali kupitia Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt Charlwes Kimei katika shule hiyo kongwe . Dada Mkuu katika Shule ya Wasichana ya Ashira ,Prisca Baraka (Mwenye miwani) akizungumzia maboiresho yaliyofanyika shuleni hapo . Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Madarasa na Mabweni yaliyojengwa katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimannjaro Na huu ndio muonekano wa sasa wa Vyoo vilivyojengwa katika shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro . Bwalo ambalo kwa sasa ujenzi wake unaendelea katika shule hiyo . Ashira Girls Sekondari: Kutoka Foleni za Vyoo Hadi Darasa la Kisasa – Miundombinu Mpya Yafungua F...